TAMISEMI Tahasusi za Sanaa Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
G: Tahasusi za Sanaa
1. Kiswahili, English Language and Theatre Arts (KLT)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia etc
2. Kiswahili, French and Theatre Arts (KFT)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia etc
3. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Theatre Arts (FaLT)
Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Theatre Arts
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. Kiswahili, Literature in English and Theatre Arts (KLiT)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uigizaji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. Kiswahili, French and Music (KFMu)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
6. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Music (FaLMu)
Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Music
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
7. Kiswahili, Literature in English and Music (KLiMu)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
8. Kiswahili, English Language and Fine Art (KLFi)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
9. Kiswahili, French and Fine Art (KFFi)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
10. Fasihi ya Kiswahili, English Language and Fine Art (FaLFi)
Awe amefaulu Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili, English Language na Fine Art
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
11. Kiswahili, Literature in English and Fine Art (KLiFi)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Uchoraji, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
12. Kiswahili, Textile and Garment Construction and Fine Art (KTeFi)
Awe amefaulu Kiswahili, Textile and Garment Construction / Textile and Dress Making na Fine Art
Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa
mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
sayansi ya Siasa, Diplomasia na Sosholojia n.k
13. English Language, Textile and Garment Construction and Fine Art (LTeFi)
Awe amefaulu English Language, Textile and Garment/ Textile and Dress Making na Fine Art
Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
14. Arabic, Textile and Garment Construction and Fine Art (ArTeFi)
Awe amefaulu Arabic, Textile and Garment Construction / Textile and Dress Making na Fine Art
Ualimu, Uchoraji, Ushoni, Ubunifu wa
mavazi, Uandishi wa Habari, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholijia n.k
15. Chinese, Textile and Garment Construction and Fine Art (ChiTeFi)
Awe amefaulu Chinese Textile and Garment Construction / Textile and Dress Making na Fine Art