TAMISEMI Tahasusi za Elimu ya Dini Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
H: Tahasusi za Elimu ya Dini
1. Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Geography (IHG)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimali watu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
2. Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Arabic (IHAr)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
3. Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and English Language (IHL)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
4. Elimu ya Dini ya Kiislamu, History and Kiswahili (IHK)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
5. Elimu ya Dini ya Kiislamu, Kiswahili and English Language (DKL)
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Ualimu, Ukalimani, Uandishi wa Habari,
Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
6. Divinity, History and Geography (DHG)
Awe amefaulu Bible Knowledge, History na Geography
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
7. Divinity, History and English Language
(DHL)
Awe amefaulu Bible Knowledge, History na English Language
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
8. Divinity, History and Kiswahili (DHK)
Awe amefaulu Bible Knowledge, History na Kiswahili
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia, Falsafa n.k
9. Divinity, Kiswahili and English Language (DKL)