TAMISEMI Tahasusi za Michezo Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
F: Tahasusi za Michezo
1. Biology, Food and Human Nutrition and
Sports (BNS)
vigezo
Awe amefaulu Biology, Food and Human Nutrition
na Sports/Physical Education
Kada
tarajiwa
Ualimu, Michezo, Afya, Chakula na Lishe,
Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. Sports,
Arabic and English Language (SArL)
vigezo
Awe amefaulu Sports /Physical Education,
Arabic na English Language
Kada
tarajiwa
Ualimu, Michezo, Ukocha, Ukalimani,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
3. Fasihi
ya Kiswahili, English Language and Sports (FaLS)
vigezo
Awe amefaulu Fasihi ya
Kiswahili/Kiswahili, English Language na Sports /Physical Education
Kada
tarajiwa
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. French, English Language and Sports
(FLS)
vigezo
Awe amefaulu French, English Language na
Sports /Physical Education
Kada
tarajiwa
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. Kiswahili,
English Language and Sports (KLS)
vigezo
Awe amefaulu Kiswahili, English Language
na Sports /Physical Education
Kada tarajiwa
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
6. English Language, Chinese and Sports
(LChS)
vigezo
Awe amefaulu, English Language, Chinese na Sports / Physical Education
Kada
tarajiwa
Ualimu, Michezo, Ukocha Ukalimani,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k