TAMISEMI Tahasusi za Muziki Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
E: Tahasusi za Muziki
1. Music, Arabic and English Language
(MuArL)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. Fasihi ya Kiswahili, Chinese and Music
(FaChMu)
vigezo
Awe amefaulu Fasihi ya
Kiswahili/Kiswahili, English Language na Music
Kada
tarajiwa
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
3. French,
English Language and Music (FLMu)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. Kiswahili, English Language and Music
(KLMu)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Muziki, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. English
Language, Chinese and Music (LChMu)