TAMISEMI Tahasusi za Sayansi Na Kada zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
D: Tahasusi za Sayansi
1. Physics, Chemistry and Mathematics
(PCM)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Uhandisi, Ufamasia, Urubani,
Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi, Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi,
Teknolojia ya Maabara, Mipango, Uthamini majengo na ardhi, Takwimu n.k
2. Physics, Chemistry and Biology (PCB)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Uhandisi, Udaktari, Uuguzi,
Ufamasia, Teknolojia ya Maabara, Urubani, Upimaji ardhi, Usanifu majengo,
Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi n.k
3. Physics Geography and Mathematics (PGM)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia,
Unajimu, Utabiri wa Hali ya Hewa, Uchumi, Takwimu, Uhasibu, Upimaji ardhi,
Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi
n.k
4. Physics,
Mathematics Computer Science (PMCs)
vigezo
Awe amefaulu Physics, Basic Mathematics na
Computer Science/ Information and Computer Studies
Kada
tarajiwa
Ualimu, Uhandisi, Urubani, Jiolojia,
TEHAMA, Utabiri wa Hali ya Hewa, Takwimu, Uchumi, Uhasibu, Upimaji ardhi,
Usanifu majengo, Ukadiriaji majenzi, Ugavi, Mipango, Uthamini majengo na ardhi
n.k
5. Chemistry, Biology and Agriculture (CBA)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Kilimo, Uhandisi, Udaktari wa
mifugo, Teknolojia ya Maabara, Ugavi, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi n.k
6. Chemistry, Biology and Food and Human
Nutrition (CBN)
vigezo
Awe amefaulu Chemistry, Biology and Food
and Human Nutrition/Food and Nutrition
Kada
tarajiwa
Ualimu, Afya, Teknolojia ya Maabara,
Chakula na Lishe n.k
7. Chemistry, Biology and Geography (CBG)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Teknolojia ya Maabara, Sayansi ya
Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu majengo, Ukadiria majenzi n.k
8. Agriculture, Biology and Economics
(ABE)
vigezo
Awe amefaulu Agriculture, Biology na Basic
Mathematics
Kada
tarajiwa
Ualimu, Kilimo, Teknolojia ya Maabara,
Sayansi ya Aqua na Teknolojia ya Uvuvi, Usanifu majengo, Ukadiria majenzi n.k