TAMISEMI Tahasusi za Utalii Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
I: Tahasusi za Utalii
1. Geography, Tourism and Kiswahili (GTK)
Awe amefaulu Geography na Kiswahili.
Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. Geography, Tourism and English Language (GTL)
Awe amefaulu Geography na English Language
Ualimu, Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
3. Geography, Tourism and French (GTF)
Awe amefaulu Geography na French.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. Geography, Tourism and Arabic (GTAr)
Awe amefaulu Geography na Arabic.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. Geography, Tourism and Chinese (GTChi)
Awe amefaulu Geography na Chinese.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
6. History, Tourism and Kiswahili (HTK)
Awe amefaulu History na Kiswahili.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia, Sosholojia n.k
7. History,
Tourism and English Language (HTL)
Awe amefaulu History na English Language.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
8. History, Tourism and French (HTF)
Awe amefaulu History na French.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
9. History, Tourism and Arabic (HTA)
Awe amefaulu History na Arabic.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
10. History, Tourism and Chinese (HTC)
Awe amefaulu History na Chinese.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
11. Tourism, English Language and French (TLF)
Awe amefaulu English Language na French.
Ualimu,
Utalii, Archeology, Uandishi wa Habari, Ukalimani, Uandishi wa Habari, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k