TAMISEMI Tahasusi za Sayansi ya Jamii Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
A: Tahasusi za Sayansi ya Jamii
1. History, Geography and Kiswahili (HGK)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari,
Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. History, Geography and English Language (HGL)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi,
Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia,
Sosholojia n.k
3. History, Geography and French (HGF)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
4. History, Kiswahili and English Language (HKL)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
5. History, Geography and Economics (HGE)
Vigezo
Awe amefaulu History na Geography
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Uchumi,
Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu, Usanifu Majengo, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia, Sosholojia, Biashara n.k
6. History, Geography and Arabic (HGAr)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
7. History, Geography and Chinese (HGCh)
Vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Utawala, Sheria, Sayansi ya
Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
8. History, Geography and Fasihi ya Kiswahili (HGFa)
Vigezo
Awe amefaulu History, Geography na Fasihi ya Kiswahili/Kiswahili
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu,
Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
9. History, Geography and Literature in English (HGLi)
Vigezo
Awe amefaulu History, Geography na Literature in English/English Language
Tahasusi Kada tarajiwa
Ualimu, Archeology, Ukalimani, Sheria,
Uandishi wa Habari,Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi,Ugavi, Ukutubi,
Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia,
Sosholojia n.k