TAMISEMI Tahasusi za Lugha Na Kada Zake
Tamisemi Tahasusi Mpya Za Masomo Vigezo Na
Kada Zake| Kidato Cha Tano Tahasusi Mpya 2025|Combination Mpya Form Five 2025
TAHASUSI ZA MASOMO, VIGEZO NA KADA ZAKE
B: Tahasusi za Lugha
1. Kiswahili, English Language and French
(KLF)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ugavi,
Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
2. Kiswahili, English Language and Arabic
(KLAr)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia,
Sosholojia n.k
3. Kiswahili, English Language and Chinese
(KLCh)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Uthamini majengo na ardhi, Ugavi, Ukutubi,
Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia,
Sosholojia n.k
4. Kiswahili, Arabic and Chinese (KArCh)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu n.k
5. Kiswahili, Arabic and French (KArF)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu n.k
6. English Language, French and Arabic
(LFAr)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia
n.k
7. English Language, French and Chinese
(LFCh)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
8. French, Arabic and Chinese (FArCh)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Sheria, Uandishi wa
Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa Kumbukumbu, Utawala, Sheria,
Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
9. History,
English Language and French (HLF)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, utunzaji wa Kumbukumbuku, Utawala,
Sheria, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k
10. History, English Language and Arabic (HLAr)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia,
Sosholojia n.k
11. Business Studies, English Language and
French (BuLF)
vigezo
Awe amefaulu Business Studies/Commerce,
English Language na French
Kada
tarajiwa
Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala,Ugavi, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia, Sosholojia n.k
12. French, English Language and Economics
(FLE)
vigezo
Awe amefaulu French na English Language
Kada
tarajiwa
Ualimu, Biashara, Ukalimani, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Utawala, Sheria, Sayansi ya Siasa,
Diplomasia, Sosholojia n.k
13. History, English Language and Chinese
(HLCh)
vigezo
Awe amefaulu masomo yote kwenye tahasusi
Kada
tarajiwa
Ualimu, Ukalimani, Archeology, Sheria,
Uandishi wa Habari, Rasilimaliwatu, Ukutubi, Utunzaji wa
Kumbukumbu,Utawala,Ugavi, Sayansi ya Siasa, Diplomasia, Sosholojia n.k