Maswali Ya Usaili Leo Walimu wa Physics IIIC



 MASWALI WALIOKUTANA NAYO WALIMU WA PHYSICS DARAJA TATU C LEO.


SEKRETARIETI YA AJIRA PORTAL LEO IMESIMAMIA VYEMA ZOEZI LA USAILI KADA YA ELIMU AMBAPO WALIMU WALIPOKELEWA NA KURUHUSIWA KUFANYA USAILI WAKIWA NA NYARAKA ZOTE ZA TAALUMA NA KITAMBULISHO KIMOJA AU BARUA KUTOKA KWA KIONGOZI WA KIJIJI(MWENYEKITI)


WALIMU WA FIZIKIA DARAJA LA IIIC LEO WALIFANYA USAILI WAO PAMOJA NA WALIMU WA MATHEMATICS DARAJA IIIB NA IIIC.


MASWALI WALIYOULIZWA WALIMU WA FIZIKIA DARAJA LA IIIC NI PAMOJA NA:


KUSOMA ZAIDI BONYEZA HAPA

Maswali Ya Usaili Leo Walimu wa Physics IIIC

KUJITAMBULISHA- Hapa msailiwa alitakiwa kujitambulisha kwa kuzingatia history yake, educational background and professional experience

KUPRESENT: Kabla ya Kuingia chumba cha mahojiano Walimu wa Fizikia walipewa Saa 1 la kuandaa kipindi ambacho ndio swali namba 2.

KWANINI ELECTRICAL POTENTIAL OF THE EARTH IS ZERO: Hapa msailiwa alitakiwa kutoa Points tatu.

SWALI LA CURRICULUM: Hapa lilikuwa ni umuhimu wa Curriculum points 5

KWANINI PHYSICS TEST RESULTS ARE RECORDED: Hapa Msailiwa alipaswa kutoa Points 3.

Maswali Yote Yalijitegemea Kwahiyo Kila Msailiwa alipaswa Kujibu Kwa Usahihi.

Pia Mwl aliyefanya Usaili Leo anapaswa Kujua Kuwa Matokeo au Kuitwa Kazini Taarifa itatolewa na Sekretarieti ya Ajira Portal.

Next Post Previous Post
No Comment
Add Comment
comment url